Kulingana na jeshi la Taifa la Rwanda, UAV hiyo ilikuwa sehemu katika mazoezi ya kawaida Wanafunzi watatu walijeruhiwa Jumanne, Septemba 16, wakati ndege dogo isiyokuwa na rubani (UAV) ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) ilipoanguka katika Wilaya ya Rutsiro, nchini Rwanda. Hii imethibitishwa na RDF katika taarifa yake. Kulingana na RDF, UAV ilikuwa katika mazoezi ya kawaida lakini ilibadilishwa na hali mbaya ya hewa na kuanguka majira ya saa saba na dakika arobaini siku ya Jumanne. Wanafunzi wawili kati ya hao walipelekwa katika Kituo cha Afya cha Kivumu kwa ajili ya matibabu, huku wa tatu akihamishiwa katika Hospitali ya Murunda kwa matibabu zaidi.
Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.
Ndege isiyokuwa na rubani yawajeruhi wanafunzi nchini Rwanda
Kulingana na jeshi la Taifa la Rwanda, UAV hiyo ilikuwa sehemu katika mazoezi ya kawaida Wanafunzi watatu walijeruhiwa Jumanne, Septemba 16, wakati ndege dogo isiyokuwa na rubani (UAV) ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) ilipoanguka katika Wilaya ya Rutsiro, nchini Rwanda. Hii imethibitishwa na RD...