Ana Sayfa / Haber arşivi
Haber arşivi

Bu bölüm arşiv haberlerini özgün tarihleriyle gösterir. Haber metni özgün dilinde gösterilmektedir.

Mhifadhi wa Tembo Afrika Mashariki Iain Douglas-Hamilton afariki dunia

Mhifadhi huyo alizaliwa na kukulia nchini Uingereza, ingawa muda mwingi wa kazi zake, alitumia akiwa Uganda, Tanzania na Kenya ambako ndipo yalipokuwa makazi yake hadi umauti ulipomkuta. Mhifadhi wa wanyamapori na mazingira kutoka Scotland Iain Douglas-Hamilton, amefariki dunia. Douglas Hamilton,...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Güncellendi 13.08.2026 05:26:17
Mhifadhi wa Tembo Afrika Mashariki Iain Douglas-Hamilton afariki dunia
Bu haberde ne var?

Mhifadhi huyo alizaliwa na kukulia nchini Uingereza, ingawa muda mwingi wa kazi zake, alitumia akiwa Uganda, Tanzania na Kenya ambako ndipo yalipokuwa makazi yake hadi umauti ulipomkuta. Mhifadhi wa wanyamapori na mazingira kutoka Scotland Iain Douglas-Hamilton, amefariki dunia. Douglas Hamilton,...

Mhifadhi huyo alizaliwa na kukulia nchini Uingereza, ingawa muda mwingi wa kazi zake, alitumia akiwa Uganda, Tanzania na Kenya ambako ndipo yalipokuwa makazi yake hadi umauti ulipomkuta. Mhifadhi wa wanyamapori na mazingira kutoka Scotland Iain Douglas-Hamilton, amefariki dunia. Douglas Hamilton, ambaye alijipatia umaarufu kwa uhifadhi wa Tembo katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda amefariki dunia Disemba 8, 2025 jijini Nairobi, akiwa na umri wa miaka 83. Mhifadhi huyo atakumbukwa kwa kazi nzuri aliyoifanya wakati wa mapambano dhidi ya ujangili wa tembo katika eneo la Afrika Mashariki. Kazi hiyo ilipelekea kupigwa marufuku kwa biashara haramu ya pembe za ndovu. "Kazi yake iliweka misingi ya tafiti mbalimbali kuhusu wanyamapori, hasa tembo,” ilisema taasisi ya Save the Elephant kupitia taarifa yake. Mhifadhi huyo alizaliwa na kukulia nchini Uingereza, ingawa muda mwingi wa kazi zake, alitumia akiwa Uganda, Tanzania na Kenya ambako ndipo yalipokuwa makazi yake hadi umauti ulipomkuta.