Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imetangaza kuanza tena kwa mchakato wa kusajili wapiga kura kote nchini. Tume hiyo ya IEBC ilieleza kuwa itaanza mchakato wa usajili Septemba 29, huku maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 yakipamba moto. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi, Tume imesema inalenga kupata wapiga kura wapya waliotimiza umri wa miaka 18, na raia wa Kenya ambao hawakuwa wamejisajili awali, pamoja na wale wanaotaka kuhamisha vituo vya kupiga kura.
News archive
This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.
Mchakato wa kujisajili kwa wapiga kura Kenya kuanza tena Septemba 29
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imetangaza kuanza tena kwa mchakato wa kusajili wapiga kura kote nchini. Tume hiyo ya IEBC ilieleza kuwa itaanza mchakato wa usajili Septemba 29, huku maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 yakipamba moto. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi, Tume im...
At a glance