الرئيسية / أرشيف الأخبار
أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

Malkia wa Kenya wapata ushindi dhidi ya Vietnam kwenye voliboli

Timu ya Kenya ya voliboli imeshangaza Poland na Vietnam katika mashindano ya Kombe la Dunia la mchezo huo. Kenya ilionesha umahiri wake na kuwaduwaza zaidi Vietnam. Licha ya kuwa vinara wa mashindano ya barani Afrika wakiwa na mataji kumi, Malkia Strikers wamekuwa hawafanyi vizuri katika jukwaa l...

NewstimeTR Haber Merkezi · · آخر تحديث 13‏/8‏/2026، 5:26:17 ص
Malkia wa Kenya wapata ushindi dhidi ya Vietnam kwenye voliboli
لمحة سريعة

Timu ya Kenya ya voliboli imeshangaza Poland na Vietnam katika mashindano ya Kombe la Dunia la mchezo huo. Kenya ilionesha umahiri wake na kuwaduwaza zaidi Vietnam. Licha ya kuwa vinara wa mashindano ya barani Afrika wakiwa na mataji kumi, Malkia Strikers wamekuwa hawafanyi vizuri katika jukwaa l...

Timu ya Kenya ya voliboli imeshangaza Poland na Vietnam katika mashindano ya Kombe la Dunia la mchezo huo. Kenya ilionesha umahiri wake na kuwaduwaza zaidi Vietnam. Licha ya kuwa vinara wa mashindano ya barani Afrika wakiwa na mataji kumi, Malkia Strikers wamekuwa hawafanyi vizuri katika jukwaa la Dunia. Siku ya Jumatano waliishinda Vietnam kwa seti 3-0 (25-23, 25-22, 25-18) kuwafanya wapate ushindi wao wa tatu katika mechi kumi walizocheza mashindano ya Dunia.