Главная / Архив новостей
Архив новостей

В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.

Mali yawatia nguvuni wanajeshi, raia wa Kifaransa kwa kuvuruga amani nchini humo

Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier. Serikali ya kijeshi ya Mali imewakamata majenerali wawili na raia mmoja wa Kifaransa kwa tuhuma za kuvuruga amani nchini humo, chombo cha habari cha Mali kimesema. Vyanzo mbalimbali viliieleza Reuters kuwa zai...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Обновлено 13.08.2026, 05:26:17
Mali yawatia nguvuni wanajeshi, raia wa Kifaransa kwa kuvuruga amani nchini humo
Кратко

Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier. Serikali ya kijeshi ya Mali imewakamata majenerali wawili na raia mmoja wa Kifaransa kwa tuhuma za kuvuruga amani nchini humo, chombo cha habari cha Mali kimesema. Vyanzo mbalimbali viliieleza Reuters kuwa zai...

Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier. Serikali ya kijeshi ya Mali imewakamata majenerali wawili na raia mmoja wa Kifaransa kwa tuhuma za kuvuruga amani nchini humo, chombo cha habari cha Mali kimesema. Vyanzo mbalimbali viliieleza Reuters kuwa zaidi ya wanajeshi 30 walimetiwa nguvuni kwa tuhuma za kuhusika na uvuragaji amani nchini Mali. Kati ya waliokamatwa, ni pamoja na raia wa Ufaransa, aliyetambulika kama Yann Vezilier.