Inicio / Archivo de noticias
Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

Mahakama ya Kenya yatoa hati ya kukamatwa kwa raia wa Uingereza kufuatia mauaji ya Agnes Wanjiru

Kulingana na Alexander Muteti, ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Nairobi, kulikuwa na sababu za kutoa hati ya kukamatwa kwa mshukiwa huyo ambaye ni mkazi wa Uingereza. Mahakama ya jijini Nairobi, siku ya Jumanne iliwasilisha hati ya kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayehusishwa na mauaji ya binti wa...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Actualizado 13/8/2026, 5:26:17
Mahakama ya Kenya yatoa hati ya kukamatwa kwa raia wa Uingereza kufuatia mauaji ya Agnes Wanjiru
De un vistazo

Kulingana na Alexander Muteti, ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Nairobi, kulikuwa na sababu za kutoa hati ya kukamatwa kwa mshukiwa huyo ambaye ni mkazi wa Uingereza. Mahakama ya jijini Nairobi, siku ya Jumanne iliwasilisha hati ya kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayehusishwa na mauaji ya binti wa...

Kulingana na Alexander Muteti, ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Nairobi, kulikuwa na sababu za kutoa hati ya kukamatwa kwa mshukiwa huyo ambaye ni mkazi wa Uingereza. Mahakama ya jijini Nairobi, siku ya Jumanne iliwasilisha hati ya kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayehusishwa na mauaji ya binti wa Kikenya, ambaye mwili wake uliopolewa kutoka shimo la maji machafu, zaidi ya miaka kumi iliyopita. Agnes Wanjiru, alifariki dunia mwaka 2012, baada ya kuripotiwa kutoka kwenye starehe akiwa pamoja na askari wa Uingereza katika mji wa Nanyuki ambako wanajeshi hao wameweka ngome yao. Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) ilisema kuwa ushahidi uliokusanywa, unamhusisha askari huyo katika mauaji hayo. Kulingana na Alexander Muteti, ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Nairobi, kulikuwa na sababu za kutoa hati ya kukamatwa kwa mshukiwa huyo ambaye ni mkazi wa Uingereza.