Kony anakabiliwa na mashitaka 39 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu, yakiwemo mauaji, ubakaji, utumwa wa kingono, na utekaji wa watoto. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne, itasikiliza kesi ya kihistoria dhidi ya Joseph Kony, kiongozi wa kundi la waasi la Lord’s Resistance Army (LRA), ambaye amekuwa mafichoni kwa zaidi ya miaka 30. Kony anakabiliwa na mashitaka 39 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu, yakiwemo mauaji, ubakaji, utumwa wa kingono, na utekaji wa watoto.
Архив новостей
В этом разделе представлены архивные новости с исходными датами публикации. Статья отображается на языке оригинала.
Mahakama ya ICC kuanza kusikiliza kesi ya Joseph Kony
Kony anakabiliwa na mashitaka 39 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu, yakiwemo mauaji, ubakaji, utumwa wa kingono, na utekaji wa watoto. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne, itasikiliza kesi ya kihistoria dhidi ya Joseph Kony, kiongozi wa kundi la waasi la Lord’s Resista...
Кратко