Gida / Taskar labarai
Taskar labarai

Wannan sashe yana nuna tsoffin labarai da ranakun da aka wallafa su. An nuna labarin a harshensa na asali.

Kenya: Watu 4 wakamatwa wakijaribu kutorosha siafu kupitia uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta

Raia wa Vietnam, Duh Hung na Mkenya Dennis Ng’ang’a walifikishwa kwenye Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku wa JKIA, baada ya kukamatwa wakiwa na jumla ya siafu 300 waliohifadhiwa kwenye vichupa vidogo 140. Watu wanne wamejikuta matatani baada ya kujaribu kutorosha wadudu aina ya siafu kupitia Uwanja w...

NewstimeTR Haber Merkezi · · An sabunta 2026-08-13, 05:26:13
Kenya: Watu 4 wakamatwa wakijaribu kutorosha siafu kupitia uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta
A taƙaice

Raia wa Vietnam, Duh Hung na Mkenya Dennis Ng’ang’a walifikishwa kwenye Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku wa JKIA, baada ya kukamatwa wakiwa na jumla ya siafu 300 waliohifadhiwa kwenye vichupa vidogo 140. Watu wanne wamejikuta matatani baada ya kujaribu kutorosha wadudu aina ya siafu kupitia Uwanja w...

Raia wa Vietnam, Duh Hung na Mkenya Dennis Ng’ang’a walifikishwa kwenye Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku wa JKIA, baada ya kukamatwa wakiwa na jumla ya siafu 300 waliohifadhiwa kwenye vichupa vidogo 140. Watu wanne wamejikuta matatani baada ya kujaribu kutorosha wadudu aina ya siafu kupitia Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Raia wa Vietnam, Duh Hung na Mkenya Dennis Ng’ang’a walifikishwa kwenye Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku wa JKIA, baada ya kukamatwa wakiwa na jumla ya siafu 300 waliohifadhiwa kwenye vichupa vidogo 140. Hatua hiyo inakuja muda mfupi baada ya kukamatwa kwa raia wawili wa Ubelgiji ambao walifikishwa kwenye mahakama hiyo hiyo kwa kujaribu kutorosha ‘malkia siafu’ 5,000 waliofichwa kwenye vichupa vidogo 2,244. Kulingana na Shirika la Huduma za Wanyapori nchini Kenya (KWS), siafu hao wana asili ya Kenya. Kulingana na KWS, siafu hao waliwekwa kwenye vichupa hivyo ili waweze kuishi kwa kwa miezi miwili na pia wasiweze kugundulika kwa urahisi na mashine maalumu za upekuzi ndani ya uwanja wa JKIA.