Kati ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo, ni pamoja na dereva wa basi hilo linalomilikiwa na kampuni ya KPC. Watu nane wamepoteza maisha baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kugonga treni ya mizigo nchini Kenya. Kulingana na Kamanda wa Polisi wa Naivasha, Anthony Keter ajali hiyo iliyotokea jioni ya Agosti 7, 2025, ilihusisha treni ya mizigo na basi dogo la kampuni ya Kenya Pipeline (KPC).
Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.
Kenya: Ajali ya treni na basi dogo yaua watu 8
Kati ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo, ni pamoja na dereva wa basi hilo linalomilikiwa na kampuni ya KPC. Watu nane wamepoteza maisha baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kugonga treni ya mizigo nchini Kenya. Kulingana na Kamanda wa Polisi wa Naivasha, Anthony Keter ajali hiyo iliyoto...