Mwanzo / Kumbukumbu za habari
Kumbukumbu za habari

Sehemu hii inaonyesha habari za kumbukumbu pamoja na tarehe zake za awali za kuchapishwa. Habari imeonyeshwa katika lugha yake ya asili.

Jeshi la Polisi Tanzania lakiri kumshikilia aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji Geofrey Mwambe

Kulingana na taarifa yake iliyotolewa Disemba 12, 2025, jeshi hilo limesema kuwa lilimkamata Mwambe Disemba 7, 2025 katika eneo la Tegeta wilaya ya Kinondoni. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya limesema kuwa limemkamata na linaendelea kumshikilia aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji na Mbunge wa Masasi, G...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Imesasishwa 13/8/2026, 05:26:13
Jeshi la Polisi Tanzania lakiri kumshikilia aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji Geofrey Mwambe
Kwa muhtasari

Kulingana na taarifa yake iliyotolewa Disemba 12, 2025, jeshi hilo limesema kuwa lilimkamata Mwambe Disemba 7, 2025 katika eneo la Tegeta wilaya ya Kinondoni. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya limesema kuwa limemkamata na linaendelea kumshikilia aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji na Mbunge wa Masasi, G...

Kulingana na taarifa yake iliyotolewa Disemba 12, 2025, jeshi hilo limesema kuwa lilimkamata Mwambe Disemba 7, 2025 katika eneo la Tegeta wilaya ya Kinondoni. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya limesema kuwa limemkamata na linaendelea kumshikilia aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji na Mbunge wa Masasi, Geofrey Mwambe kwa tuhuma za jinai ambazo zinachunguzwa. Kulingana na taarifa yake iliyotolewa Disemba 12, 2025, jeshi hilo limesema kuwa lilimkamata Mwambe Disemba 7, 2025 katika eneo la Tegeta wilaya ya Kinondoni. Aidha, taarifa hiyo imeongeza kuwa Mwambe, ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini humo (TIC), amekamatwa kwa tuhuma za makosa ya jinai. “Hatua zaidi za kisheria zinakamilishwa,” ilisomeka sehemu ya taarifa hiyo. Geoffrey Mwambe amewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara kuanzia mwaka 2020 hadi 2021, akateuliwa tena kuwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), kuanzia mwaka 2021 hadi 2022.