الرئيسية / أرشيف الأخبار
أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

Jamhuri ya Afrika ya Kati kufanya uchaguzi mkuu Disemba 28

Wapigaji kura milioni 2.3 wamejisajili kwa ajili ya uchaguzi wa urais, ubunge, serikali za mitaa, na uchaguzi wa manispaa, kulingana na afisa Jamhuri ya Afrika ya Kati itafanya uchaguzi wake mkuu Disemba 28, baada ya kuahirishwa mara kadhaa, afisa wa serikali alithibitisha siku ya Jumanne. Wapiga...

NewstimeTR Haber Merkezi · · آخر تحديث 13‏/8‏/2026، 5:26:12 ص
Jamhuri ya Afrika ya Kati kufanya uchaguzi mkuu Disemba 28
لمحة سريعة

Wapigaji kura milioni 2.3 wamejisajili kwa ajili ya uchaguzi wa urais, ubunge, serikali za mitaa, na uchaguzi wa manispaa, kulingana na afisa Jamhuri ya Afrika ya Kati itafanya uchaguzi wake mkuu Disemba 28, baada ya kuahirishwa mara kadhaa, afisa wa serikali alithibitisha siku ya Jumanne. Wapiga...

Wapigaji kura milioni 2.3 wamejisajili kwa ajili ya uchaguzi wa urais, ubunge, serikali za mitaa, na uchaguzi wa manispaa, kulingana na afisa Jamhuri ya Afrika ya Kati itafanya uchaguzi wake mkuu Disemba 28, baada ya kuahirishwa mara kadhaa, afisa wa serikali alithibitisha siku ya Jumanne. Wapiga kura watashiriki katika uchaguzi wa urais, ubunge, serikali za mitaa na manispaa, Bruno Yapande, waziri aliwaambia waandishi wa habari, kufuatia mkutano na tume ya uchaguzi, ambayo na jukumu la kuweka sawa daftari la wapiga kura. Mchakato wa uchaguzi unaendelea vizuri, licha ya kuwepo na changamoto, alisema.