Mpinzani wake wa chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman ameshika nafasi ya pili. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Ali Mwinyi, kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Zanzibar. Mwinyi amejipatia jumla ya kura 448,892, sawa na asilimia 74.8 ya kura. Mgombea wa chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameshika nafasi ya pili kwa kupata kura 139,399, ambazo ni sawa na asilimia 23.2. Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayojumuisha visiwa vikuu vya Unguja na Pemba, vilivyoko katika Bahari ya Hindi, mashariki mwa pwani ya Tanzania bara.
News archive
This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.
Hussein Mwinyi atangazwa mshindi wa Urais Zanzibar
Mpinzani wake wa chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman ameshika nafasi ya pili. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Ali Mwinyi, kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Zanzibar. Mwinyi amejipatia jumla ya kura 448,892, sawa na asilimia...

At a glance