Taskar labarai

Wannan sashe yana nuna tsoffin labarai da ranakun da aka wallafa su. An nuna labarin a harshensa na asali.

31,085 sakamako

Gombo wa CUF aahidi ‘kuwapunguzia’ Watanzania makali ya maisha
Taskar labarai

Gombo wa CUF aahidi ‘kuwapunguzia’ Watanzania makali ya maisha

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wake Oktoba 29, 2025. Mgombea Urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wananchi (CUF) Gombo Samandito Gombo amesema serikali yake itaboresha maslahi ya wafanyakazi ili wapunguze makali ya maisha wanayokumbana nayo. Akizungumza wakati wa kampeni z...

Samia: Chagueni mafiga matatu
Taskar labarai

Samia: Chagueni mafiga matatu

Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania, unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, huku CCM kikimsimamisha kwa mara ya kwanza, mgombea mwanamke katika nafasi ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Su...

African Union chief calls for more 'climate justice' funds
Taskar labarai

African Union chief calls for more 'climate justice' funds

Africa, which emits only 4% of greenhouse gases but suffers disproportionately from the impact of global warming, has called for more funding for adaptation in the name of "climate justice". Africa, which emits only 4% of greenhouse gases but suffers disproportionately from the impact of global w...

Mahakama ya ICC kuanza kusikiliza kesi ya Joseph Kony
Taskar labarai

Mahakama ya ICC kuanza kusikiliza kesi ya Joseph Kony

Kony anakabiliwa na mashitaka 39 ya uhalifu wa kivita na dhidi ya ubinadamu, yakiwemo mauaji, ubakaji, utumwa wa kingono, na utekaji wa watoto. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne, itasikiliza kesi ya kihistoria dhidi ya Joseph Kony, kiongozi wa kundi la waasi la Lord’s Resista...