Taskar labarai

Wannan sashe yana nuna tsoffin labarai da ranakun da aka wallafa su. An nuna labarin a harshensa na asali.

31,085 sakamako

Liverpool 'kufunga kazi' Jumapili?
Taskar labarai

Liverpool 'kufunga kazi' Jumapili?

Liverpool imebakisha mechi tano katika Ligi Kuu ya England msimu huu lakini inahitaji alama moja pekee kuchukua ubingwa. Kocha wa Liverpool Arne Slot anaamini Liverpool wana "jukumu kubwa" katika kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England mbele ya mashabiki wao watakapokabiliana na Tottenham Jumapil...

Kenya yaamua tena hisabati kuwa somo la lazima
Taskar labarai

Kenya yaamua tena hisabati kuwa somo la lazima

Haya yanajiri baada ya Wizara ya Elimu kutangaza kuwa masomo ya hesabu hayatakuwa ya lazima tena kwa wanafunzi wa sekondari chini ya Mtaala unaozingatia Umahiri (CBC), mabadiliko makubwa kutoka kwa mfumo ulioondolewa wa elimu. Wizara Elimu ya Kenya imeamua kubatilisha uamuzi wake wa awali wa kufu...

Rwanda kuanza kutibu wagonjwa bila kuhudhuria vituo vya afya
Taskar labarai

Rwanda kuanza kutibu wagonjwa bila kuhudhuria vituo vya afya

Hospitali zitatumia teknolojia maarufu kama ‘telemedicine,’ mbinu inayotumia teknolojia ya kidijitali kama vile simu za video, programu za simu na majukwaa ya mtandaoni kutoa huduma za afya kwa mbali. Wizara ya Afya ya Rwanda imesema inajiandaa kuzindua mpango mpya wa kutoa huduma za matibabu kwa...

Burkina Faso awards gold mine permit to Russia's Nordgold
Taskar labarai

Burkina Faso awards gold mine permit to Russia's Nordgold

The Niou mine is expected to yield approximately 20.22 metric tons of gold over its eight-year lifetime, officials say Burkina Faso has granted an industrial mining licence to Russian miner Nordgold for a gold project, the West African government said, aiming to capitalise on record-high gold pri...

Pope's funeral: Who are the African leaders attending?
Taskar labarai

Pope's funeral: Who are the African leaders attending?

The Vatican said at least 130 foreign delegations had confirmed their attendance at Pope Francis's funeral on Saturday. Five African presidents are among numerous world leaders and royals expected to attend Pope Francis' funeral in Rome on Saturday. The Vatican said at least 130 foreign delegatio...

Marekani kuwa mwenyeji wa makubaliano kati ya Rwanda na DRC
Taskar labarai

Marekani kuwa mwenyeji wa makubaliano kati ya Rwanda na DRC

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio atatia saini 'tamko la kanuni', siku chache baada ya kutangazwa kusitishwa kwa mapigano kati ya DRC na waasi wa M23 wakati wa mazungumzo ya hivi karibuni yaliyofanywa na Qatar huko Doha. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio atakuwa mwenyeji...