Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rais wa Urusi Vladimir Putin kutembelea nchi yake, shirika la habari la serikali la Urusi TASS liliripoti siku ya Jumatano. Rais mpya aliyechaguliwa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera, amemualika Rai...
Maandamano yaliyosababishwa na ugumu wa maisha nchini Iran yanafuatiliwa kwa karibu na jamii ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na viongozi mahasimu wa taifa hilo, Israel na Marekani. Kiongozi wa kijeshi wa Iran alionya kwamba Iran haitakaa kimya, baada ya Marekani na Israel kuunga mkono maandamano dh...
Several civil society organisations in South Africa on Tuesday held nationwide protests in solidarity with pro-Palestine hunger strikers being held in UK jails, urging the British government to release them. Several civil society organisations in South Africa on Tuesday held nationwide protests i...
Matokeo ya awali yanaonyesha kuwa Rais Faustin-Archange Touadera ameshinda muhula wa tatu wa urais baada ya kuondolewa kwa kikomo cha mihula ya uongozi. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Kitaifa ya Uchaguzi, Rais Touadera amepata ushindi katika uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita, akijipatia asili...
Mataifa ya Afrika yametoa wito wa kuheshimiwa kwa sheria ya kimataifa kufuatia kutekwa kwa Rais Nicolas Maduro, Cilia Flores na Marekani Umoja wa Afrika, unatoa wito wa majadiliano, kujizuia, na kulindwa kwa uhuru wa Venezuela katika Umoja wa Mataifa, kwenye mazungumzo ya pamoja Nchi za Afrika zi...
An kama kifin nau’in bluefina tuna mai nauyin kilogiram 243 ne a gaɓar tekun Oma a arewa maso gabashin Japan, kuma wani kamfani Kiyomura Corp da ke cikin rukunin kantunan sayar abinci na Sushizanmai ne ya saye shi. An sayar da wani kifi a kan kudi har dala miliyan 3.2 (kwatankwacin Naira biliyan...
Kanuni hizi zinatarajiwa kupunguza idadi ya watoto 20,000 wanaoishi na unene kupita kiasi na kuleta faida za kiafya zenye thamani ya takribani dola bilioni 2.68. Siku ya Jumatatu, Uingereza ilianza kutekeleza marufuku nchini humo ya matangazo ya vyakula visivyo na afya (junk food) kwenye televish...
Nearly 65,000 civilians have fled the Kordofan region in southern Sudan over the past three months due to escalating insecurity, the International Organization for Migration (IOM) said on Monday. Nearly 65,000 civilians have fled the Kordofan region in southern Sudan over the past three months du...
Uganda's government said on Monday it was banning live broadcasts of riots, "unlawful processions" and other violent incidents ahead of an election in which President Yoweri Museveni is seeking to extend his time in office. Uganda's government said on Monday it was banning live broadcasts of riot...
Rais wa Uturuki ameeleza msimamo wa Uturuki kuwaunga mkono "watu wa Venezuela marafiki katika kupambania mafanikio, amani, na ustawi." Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan amesema kuwa amemwambia Rais wa Marekani Donald Trump katika mazungumzo kwa njia ya simu kwamba Venezuela haitakiwi kuingizwa katik...
A sanarwar da kamfanin ya fitar ranar Litinin, ya ce matatar na ci gaba da gudanar da ayyukanta ba tare da wani tsaiko ba, kana ya ba da tabbacin samar da man Premium Motor Spirit (PMS) lita miliyan 50 a kowace rana. Kamfanin matatar mai na Dangote ya yi watsi da rahotannin da ke yawo a kafafen s...
Egypt has warned against remaining silent over Israel’s recognition of the breakaway region of Somaliland, calling the move "a serious threat" to regional and international peace and security. Egypt warned on Tuesday against remaining silent over Israel’s recognition of the breakaway region of So...