Mahakama ya Tagansky District Court imemuamuru Google kulipa faini ya dola 139,000 baada ya kushindwa kuondoa taarifa zilizopigwa marufuku nchini Russia. Kwa mujibu wa mahakama, Google ilikiuka sheria za Urusi zinazodhibiti usambazaji wa taarifa kwa kuruhusu maudhui yaliyopigwa marufuku kuendelea kusambazwa mtandaoni. Hatua hii ya kisheria ni sehemu ya jitihada za Urusi kudhibiti majukwaa ya mitandao ya kijamii yanayotoka Marekani. CHANZO: Newstimehub Google Urusi
أرشيف الأخبار
يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.
Google Yafungwa Faini ya $139,000 Moscow
Mahakama ya Tagansky District Court imemuamuru Google kulipa faini ya dola 139,000 baada ya kushindwa kuondoa taarifa zilizopigwa marufuku nchini Russia. Kwa mujibu wa mahakama, Google ilikiuka sheria za Urusi zinazodhibiti usambazaji wa taarifa kwa kuruhusu maudhui yaliyopigwa marufuku kuendelea...

لمحة سريعة