Home / News archive
News archive

This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.

Gombo wa CUF aahidi ‘kuwapunguzia’ Watanzania makali ya maisha

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wake Oktoba 29, 2025. Mgombea Urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wananchi (CUF) Gombo Samandito Gombo amesema serikali yake itaboresha maslahi ya wafanyakazi ili wapunguze makali ya maisha wanayokumbana nayo. Akizungumza wakati wa kampeni z...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Updated 13/08/2026, 05:26:11
Gombo wa CUF aahidi ‘kuwapunguzia’ Watanzania makali ya maisha
At a glance

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wake Oktoba 29, 2025. Mgombea Urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wananchi (CUF) Gombo Samandito Gombo amesema serikali yake itaboresha maslahi ya wafanyakazi ili wapunguze makali ya maisha wanayokumbana nayo. Akizungumza wakati wa kampeni z...

Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wake Oktoba 29, 2025. Mgombea Urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wananchi (CUF) Gombo Samandito Gombo amesema serikali yake itaboresha maslahi ya wafanyakazi ili wapunguze makali ya maisha wanayokumbana nayo. Akizungumza wakati wa kampeni zake katika kata ya Katoro wilayani Bukoba mkoani Kagera, Gombo alisema kuwa chama chake kitahakikisha kinaboresha maslahi ya wafanyakazi ili wapunguze makali ya maisha, hususani yale yaliyosababishwa na uchukuaji holela wa mikopo. “Sisi CUF tunasema haya maumivu ya maisha waliyo nayo wafanyakazi wetu mpaka ikafika mahali hawatuhudumii vizuri lazima na yenyewe kwa kutumia kodi zetu tuwape wanachostahili ilo waweze kutuhudumia vizuri, "alisema mgombea huyo wa Urais.