Bao hilo liliwasaidia Valencia kupata sare ya 3-3 na kuonesha umahiri wa Sadiq tangu kuhamia timu hiyo kwa mkopo. Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles na klabu ya Valencia Umar Sadiq anasherehekea baada ya goli lake la kisigino dhidi ya timu ya Osasuna kutajwa kuwa goli bora la mwezi wa Machi katika ligi kuu ya Uhispania. Goli hilo liliisaidia timu yake ya Valencia kupata sare ya 3-3 na kuonesha umahiri wa Sadiq tangu kuhamia timu hiyo kwa mkopo.. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28, ambaye alijiunga na klabu ya Valencia ya Uhispania mwezi Januari, alifunga goli hilo kwa ustadi mkubwa katika dakika 88 huko El Sadar. Katika video iliyosambazwa na La Liga, Sadiq aliwashkuru mashabiki . "Asante sana kwa kunipigia kura ya goli bora la mwezi," alisema.
News archive
This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.
Goli bora la mwezi La Liga ni la kisigino kutoka kwa mshambuliaji wa Nigeria Sadiq
Bao hilo liliwasaidia Valencia kupata sare ya 3-3 na kuonesha umahiri wa Sadiq tangu kuhamia timu hiyo kwa mkopo. Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles na klabu ya Valencia Umar Sadiq anasherehekea baada ya goli lake la kisigino dhidi ya timu ya Osasuna kutajwa kuwa goli bora la...
At a glance