Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

31,085 résultats

Sudan's Burhan urges Trump to intervene in Sudan war
Archives

Sudan's Burhan urges Trump to intervene in Sudan war

Sudan's army chief Abdel Fattah al-Burhan, at war with a rival paramilitary group since April 2023, has called on US President Donald Trump to bring peace. Sudan's army chief Abdel Fattah al-Burhan, at war with a rival paramilitary group since April 2023, has called on US President Donald Trump t...

Kiongozi wa mapinduzi Guinea-Bissau, atangazwa kuwa 'Rais wa mpito’
Archives

Kiongozi wa mapinduzi Guinea-Bissau, atangazwa kuwa 'Rais wa mpito’

Maafisa, wanaojiita “Kamandi Kuu ya Kijeshi kwa Urejeshaji wa Usalama wa Kitaifa na Utulivu wa Umma,” wamechukua madaraka katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Jenerali Horta Inta-A ametangazwa kuwa “Rais wa mpito” nchini Guinea-Bissau siku ya Alhamisi kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa...

Rais wa Nigeria atangaza hali ya dharura kufuatia utekaji uliokithiri
Archives

Rais wa Nigeria atangaza hali ya dharura kufuatia utekaji uliokithiri

Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama nchini kote kufuatia msururu wa mauaji na utekaji wa watu. Rais Bola Tinubu, katika taarifa iliyotolewa kutoka Ikulu na kuchapishwa kupitia mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) siku ya Jumatano, ameagiza idara ya polisi kuaji...