Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

31,085 résultats

Trump atishia kumshtaki Trevor Noah baada ya utani wa Grammys
Archives

Trump atishia kumshtaki Trevor Noah baada ya utani wa Grammys

Trevor Noah atangaza huu ndio mwaka wake wa mwisho kuandaa Grammys. Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mchekeshaji wa Afrika Kusini Trevor Noah, ambaye alitangaza kuwa huu utakuwa mwaka wake wa mwisho kuandaa Tuzo za Grammy baada ya mara sita. Wakati Noah...

Trump threatens to sue South African Grammy host Trevor Noah
Archives

Trump threatens to sue South African Grammy host Trevor Noah

Comedian Noah, who announced that this will be his final year hosting the Grammys after six turns as emcee, has been light on political commentary in previous years. Donald Trump threatened legal action on Monday against the host of the 68th Grammy Awards over the comedian's comment on the US pre...

Jeshi la Somalia lawaua viongozi wa Al Shabaab katika operesheni mahsusi
Archives

Jeshi la Somalia lawaua viongozi wa Al Shabaab katika operesheni mahsusi

Wanachama 13 wa Al Shabaab wakiwemo viongozi 5 wauawa Shabelle. Jeshi la Somalia kwa kushirikiana na Idara ya Ujasusi (NISA) limefanya operesheni maalum katika eneo la Maha Saed, katikati mwa Shabelle, na kuwaua wanachama 13 wa Al Shabaab, wakiwemo viongozi wake watano waliokuwa wakipanga mashamb...

Ademola Lookman karibu kujiunga na Atletico Madrid
Archives

Ademola Lookman karibu kujiunga na Atletico Madrid

Lookman tayari yupo Madrid kwa ajili ya vipimo vya afya na kusaini mkataba. Atletico Madrid imetangaza kuwa imefikia makubaliano na klabu ya Atalanta ya Italia kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Nigeria, Ademola Lookman. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 tayari yupo Madrid kwa ajili ya ku...