Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

31,085 résultats

Baraza la mawaziri Kenya lapitisha Muswada wa Fedha 2025
Archives

Baraza la mawaziri Kenya lapitisha Muswada wa Fedha 2025

Mabadiliko muhimu ni pamoja na kurahisisha urejeshaji wa kodi, kuimarisha sheria za migogoro ya kodi, na kurekebisha sheria kuu za kodi ili kupunguza ukwepaji. Baraza la Mawaziri la Kenya limeidhinisha Muswada wa Fedha wa 2025, ambao unalenga kuziba mianya ya kodi badala ya kuanzisha kodi mpya. "...

Afrika yaadhimisha wiki ya chanjo wataalam wakihimiza uwekezaji zaidi
Archives

Afrika yaadhimisha wiki ya chanjo wataalam wakihimiza uwekezaji zaidi

Takwimu zinaonyesha kuwa Afrika inachangia asilimia 58 ya vifo duniani kutokana na magonjwa yanayozuilika kwa chanjo. Huku dunia ikiadhimisha wiki ya chanjo kituo cha afya cha Afrika, Africa CDC kinatoa wito kwa nchi barani kuwekeza zaidi katika mpango wa kutoa chanjo kwa ajili ya kukinga na kuti...

Tarayyar Afirka ta janye takunkuman da ta sanya wa Gabon
Archives

Tarayyar Afirka ta janye takunkuman da ta sanya wa Gabon

Tarayyar Afirka (AU) ta ce ayyukan miƙa mulki sun yi nasara, waɗanda za su bayar da dama ga Gabon ta dawo tarayyar baki ɗaya. Tarayyar Afirka (AU) ta janye takunkuman da ta ƙaƙaba wa Gabon, kamar yadda ta bayyana a wata snaarwa, bayan dakatar da ƙasar ta Tsakiyar Afirka saboda juyin mulkin da aka...

Israeli bombings in Gaza unprecedented, violate international law: SA
Archives

Israeli bombings in Gaza unprecedented, violate international law: SA

South Africa says the latest Israeli bombardments in the Gaza Strip are "unprecedented in scale" and they violate international law. South Africa said on Wednesday the latest Israeli bombardments in the Gaza Strip are “unprecedented in scale” and they violate international law. Israel's violation...

Kardinali Mtaliano ajiondoa mchakato wa kumpata mrithi wa Papa Francis
Archives

Kardinali Mtaliano ajiondoa mchakato wa kumpata mrithi wa Papa Francis

Mtaliano huyo, mwenye umri wa miaka 76 alihukumiwa na mahakama ya Vatican mwaka 2023 kwa ufujaji wa pesa, ulaghai na matumizi mabaya ya ofisi, katika kile kilichoitwa ‘kesi ya karne’. Kardinali Giovanni Angelo Becciu amejiondoa rasmi kwenye mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki d...