Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

31,085 resultados

Gabon kumuapisha kiongozi aliyefanya mapinduzi Oligui kuwa rais
Archivo de noticias

Gabon kumuapisha kiongozi aliyefanya mapinduzi Oligui kuwa rais

Brice Oligui Nguema alishinda uchaguzi wa mwezi uliopita akipata asilimia 95 ya kura baada ya kuongoza serikali ya mpito kwa miezi 19. Rais mteule wa Gabon Brice Oligui Nguema ambaye aliongoza mapinduzi yaliyomaliza utawala wa miongo kadhaa wa familia ya Bongo na kushinda kwa kishindo mwezi uliop...