Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

31,085 resultados

Mvua kubwa yaleta uharibu Mogadishu, Somalia
Archivo de noticias

Mvua kubwa yaleta uharibu Mogadishu, Somalia

Mvua ya mwishoni mwa juma iliyonyesha kwa takriban saa nane, imeleta mafuriko na uharibifu mkubwa wa miundombinu. Takriban watu saba wamepoteza maisha huku miundombinu ya barabara kubwa ikiharibiwa baada ya mvua kubwa kunyesha katika mji mkuu wa Mogadishu, nchini Somalia. Mvua hiyo iliyonyesha si...

Zelenskyy aona dalili njema huku Putin akiashiria kumaliza vita
Archivo de noticias

Zelenskyy aona dalili njema huku Putin akiashiria kumaliza vita

Rais wa Ukraine amekaribisha dalili ya uwezekano wa Urusi kumaliza vita na kuonyesha utayari wa mazungumzo ya amani ya ana kwa ana, kwa kuanza na usitishaji wa mapigano Mei 12. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kwa tahadhari ameonyesha matumaini kufuatia ishara kwamba Urusi inaweza kufikiria ku...

Poutine propose des pourparlers directs avec l'Ukraine en Turquie
Archivo de noticias

Poutine propose des pourparlers directs avec l'Ukraine en Turquie

Poutine a appelé les autorités de Kiev à reprendre les pourparlers le jeudi 15 mai à Istanbul. Le président russe Vladimir Poutine a proposé dimanche à l'Ukraine de reprendre des pourparlers de paix directs à Istanbul, à partir du 15 mai. Poutine a déclaré lors d'une conférence de presse à Moscou...

La FIFA brandit des sanctions plus sévères contre le racisme
Archivo de noticias

La FIFA brandit des sanctions plus sévères contre le racisme

La Fédération internationale de football (FIFA) a annoncé des sanctions beaucoup plus sévères en cas d'incidents racistes, a déclaré l'organisation faîtière du football. Le Conseil de la FIFA a approuvé à l'unanimité une version révisée du Code disciplinaire de la FIFA (FDC), qui inclut un ensemb...

Kiongozi wa upinzani Uganda, Bobi Wine kuwania urais
Archivo de noticias

Kiongozi wa upinzani Uganda, Bobi Wine kuwania urais

Katika uchaguzi uliopita wa mwaka 2021, Wine alikuwa wa pili, lakini alikataa matokeo, na kudai kulikuwa na wizi wa kura. Tuhuma ambazo serikali na Tume ya Uchaguzi ilizikana. Kiongozi wa upinzani nchini Uganda na msanii Bobi Wine, amesema Ijumaa kuwa ana mpango wa kugombea urais wa nchi hiyo kwa...