Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

31,085 resultados

Kenya yahitaji fedha zaidi kwa vyombo vya usalama
Archivo de noticias

Kenya yahitaji fedha zaidi kwa vyombo vya usalama

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Ujasusi nchini Kenya amesema vikosi vya usalama vimekuwa na changamoto ya kifedha kwa muda mrefu na haviwezi kupata vifaa vya kisasa vya ulinzi. Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Ujasusi nchini Kenya, Noordin Haji amelitaka Bunge kuhakikisha kuwa kuna fedha za kutosha kw...

Polisi Uganda yamkamata mhalifu sugu
Archivo de noticias

Polisi Uganda yamkamata mhalifu sugu

Mhalifu aliyekamatwa anaitwa Imanantireganya Alfadudu, maarufu kama “ MCongo”. Idara ya polisi Uganda inasema imemkamata mmoja wa wahalifu sugu nchini. Mhalifu huyo alikamatwa katika wilaya wa Wakiso ambayo inapakana na mji mkuu wa Kampala. Mhalifu aliyekamatwa anaitwa Imanantireganya Alfadudu, m...

Waafrika weupe wa Afrika Kusini wahamia Marekani kama wakimbizi
Archivo de noticias

Waafrika weupe wa Afrika Kusini wahamia Marekani kama wakimbizi

Kutoa hadhi ya ukimbizi kwa Wazungu wa Afrika Kusini kumekumbwa na hisia tofauti kutoka mamlaka za Afrika Kusini, ambazo zinasema utawala wa Trump umeingia katika suala la kisiasa la ndani ambalo halielewi. Wazungu 49 wa kwanza wenye asili ya Afrika Kusini waliochukuliwa kuwa ''waathiriwa wa ubag...

France terms Algeria's expulsion of its officials 'brutal'
Archivo de noticias

France terms Algeria's expulsion of its officials 'brutal'

France's foreign minister has vowed an immediate response from Paris after Algeria revealed plans to expel more French officials from Algerian territory. France's foreign minister on Monday vowed an immediate and strong response from Paris after Algeria revealed plans to expel more French officia...