Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

31,085 resultados

Ghana scraps fuel allowance for political appointees
Archivo de noticias

Ghana scraps fuel allowance for political appointees

Those to be affected by the directive include cabinet ministers and heads of public institutions picked by the president. Ghana's President John Mahama has issued a directive scrapping payment of fuel allowances to all political appointees. It is an attempt by government to cut costs and channel...

Ethiopia yawakamata washukiwa 82 wa kundi la kigaidi la Daesh
Archivo de noticias

Ethiopia yawakamata washukiwa 82 wa kundi la kigaidi la Daesh

Mamlaka nchini Ethiopia zimewakamata washukiwa 82 wa kundi la kigaidi la Daesh. Mamlaka za nchini Ethiopia zimewakamata washukiwa 82 wanaoamini kuwa ni wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh, shirika la kijasusi la nchi hiyo lilisema siku ya Jumanne. Shirika la Kitaifa la Ujasusi limesema wale wa...

Wakulima wa kahawa Rwanda kulipa nusu ya bei ya mbolea
Archivo de noticias

Wakulima wa kahawa Rwanda kulipa nusu ya bei ya mbolea

Serikali inasema hii inaweza kusaidia kurejesha mapato ya mauzo ya kahawa ambayo yalishuka hadi dola milioni $78.7 (takriban Rwf110 bilioni) mwaka 2023/2024, kutoka zaidi ya dola milioni 115.9 mwaka wa fedha uliopita, kulingana na Wizara ya Kilimo. Wakulima wa Kahawa nchini Rwanda watalipa nusu y...

Tume ya Uchaguzi Kenya yaonya viongozi dhidi ya matamshi potofu
Archivo de noticias

Tume ya Uchaguzi Kenya yaonya viongozi dhidi ya matamshi potofu

Mwakilishi wa Wanawake wa Wajir Fatuma Jehow, aliyesema waziwazi kwamba viongozi kutoka eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya 'wangeiba kura kwa niaba ya' Rais Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Tume ya Uchaguzi nchini Kenya imewaonya wale wanaotoa matamshi potofu kuhusu uchaguzi. “Tume ina wasiw...