Maelfu wamekosa makazi na mamia kujeruhiwa baada ya dhoruba kali kuikumba nchi hiyo ya visiwa vya Bahari ya Hindi. Takriban watu 59 wamepoteza maisha kufuatia athari za Kimbunga Gezani kilichoikumba Madagascar wiki iliyopita, kwa mujibu wa Ofisi ya Kitaifa ya Kudhibiti Hatari na Majanga (BNGRC)....
The death toll is preliminary and may rise as the attack took place at a time when there were many people at the market, including women, children and elderly people, a local group said. At least 28 people were killed and dozens injured in a drone strike on a marketplace in the Al-Saffiya area of...
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi lafanya tathmini ya utayari wa majini huku mvutano ukiongezeka kati ya Tehran na Washington. Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) kimeanza mazoezi ya kijeshi katika eneo la kimkakati la Hormuz, siku moja kabla ya duru ya mazungumzo na Marekani. Kwa mujibu w...
The move is part of Somalia's integration into the East African regional bloc. Somalia is set to begin the issuance of the East African Community (EAC) passport to its citizens, joining other member states using the regional travel document. Somalia’s Ambassador to Tanzania and Permanent Represen...
Matakin ya jawo suka daga Turkiyya, Masar, Qatar da Jordan Gwamnatin Isra'ila ta amince da wani tsari na yin rijistar filaye a Gabar Yamma da aka mamaye, matakin da ya jawo suka daga ƙasashe da dama da kuma masu fafutukar kare haƙƙin Falasdinawa, waɗanda suka bayyana shi a matsayin “babban kwacen...
Marais wa nchi hizo mbili waamua kufufua haraka ushirikiano wa ulinzi wa mipaka na kupanua miradi ya maendeleo ya pamoja. Marais wa Algeria na Niger, Abdelmadjid Tebboune na Abdourahamane Tiani, wamekubaliana kufufua mara moja mifumo ya pamoja ya kulinda mipaka na kupambana na ugaidi katika eneo...
Viongozi wa Kenya na Misri wajadili uwekezaji, biashara na ushirikiano wa rasilimali za maji katika Bonde la Nile. Waziri Mkuu Msaidizi wa Kenya, Musalia Mudavadi, amemkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty, jijini Nairobi kwa mazungumzo ya kuimarisha mahusiano ya pande mbili....
Tura sojojin na nuni da sabuwar alaƙar tsaro tsakanin Nijeriya da Amurka Jiragen rundunar sojin Amurka guda uku masu ɗauke da sojoji da makamai sun isa Maiduguri, babban birnin Jihar Borno a Nijeriya , abin da ke nuna sabuwar alaƙar soji da tsaro da za ta mayar da hankali kan tallafi na tsaro, in...
Mining at Mopani's Mufulira mine had been suspended after it failed to comply with safety regulations, specifically the requirement to maintain an accurate system to account for all its underground workers. Underground operations at Mopani Copper Mines' Mufulira mine could resume immediately, Zam...
Turkish President Erdogan’s trip, scheduled for Tuesday, to Addis Ababa at the invitation of Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed, comes as the two countries commemorate a century of formal relations. Turkish President Recep Tayyip Erdogan’s upcoming visit to Ethiopia has received wide coverage in...
Nchi hizo zinasema kutangaza ardhi kuwa mali ya dola ni hatua hatari inayokiuka sheria ya kimataifa na kuhatarisha suluhisho la mataifa mawili. Mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Misri, Indonesia, Jordan, Pakistan, Qatar, Saudi Arabia na Falme za Kiarabu wamelaani vikali uamuzi wa Israel wa kut...
Rais wa Uturuki aonya kuwa hatua hiyo haitaleta faida kwa Somaliland wala kwa utulivu wa kikanda. Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kuwa uwezekano wa Israel kuitambua Somaliland hautakuwa na manufaa kwa Somaliland yenyewe wala kwa eneo la Pembe ya Afrika. Amesisitiza kuwa hatua kama...