Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

31,085 resultados

Dunia yaadhimisha siku ya malaria, nchi 9 Afrika bila malaria
Archivo de noticias

Dunia yaadhimisha siku ya malaria, nchi 9 Afrika bila malaria

Barani Afrika WHO inasema tangu mwaka wa 2000, zaidi ya wagonjwa wa malaria bilioni 1.7 na vifo milioni 12 vimepukwa katika kanda ya Afrika kutokana na juhudi za kimataifa za afya. Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Malaria Duniani, 25 Aprili 2025, Shirika la Afya Duniani (WHO) linatoa wito wa kuhui...