News archive

This section shows archived news with its original publication dates. The article is displayed in its original language.

31,085 results

Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) waahirishwa
News archive

Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) waahirishwa

Kanuni ya 11 ya uendeshaji wa shughuli za EAC, unataka akidi za nchi zote wanachama zitimie, ili Mkutano wa Wakuu wa EAC ufanyike. Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)imeahirisha mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki uliokuwa ufanyike Desemba 6, 2025 jijini Nairobi nchini Kenya. Mshauri...

Tanzania: Gharama za Petroli zaendelea kushuka
News archive

Tanzania: Gharama za Petroli zaendelea kushuka

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA), bei za mafuta ya petroli na ya taa, zimeendelea kushuka kutokana na kupungua kwa gharama za uagizaji kwa yale yaliyopitia bandari ya Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji nchini...

Marekani ‘kupitia upya’ uhusiano wake na Tanzania
News archive

Marekani ‘kupitia upya’ uhusiano wake na Tanzania

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inasema kuwa haiwezi kudharua matukio yenye kuhatarisha usalama wa raia wa Marekani waliopo nchini Tanzania Marekani imesema kuwa unapitia upya uhusiano wake na nchi ya Tanzania, ikisema kuwa imeshtushwa na matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini humo. Kulin...

Trump to oversee signing of Rwanda-DR Congo peace agreement
News archive

Trump to oversee signing of Rwanda-DR Congo peace agreement

Rwanda's President Paul Kagame will meet alongside President Donald Trump with DR Congo President Felix Tshisekedi for the signing of the peace agreement. US President Donald Trump on Thursday brings together the leaders of Rwanda and the Democratic Republic of Congo for what he will hail as his...

Somalis respond to Trump's 'unacceptable' outburst against them
News archive

Somalis respond to Trump's 'unacceptable' outburst against them

Somalis voiced their displeasure on Wednesday to President Donald Trump’s tirade against them, in which he said their country ‘stinks’ and that the US did not want their emigrants. Somalis responded with resentment on Wednesday to President Donald Trump's tirade against them in which he said thei...