Uturuki imetoa msaada wa hema 30,000 na misaada ya chakula. Balozi wa Uturuki nchini Marekani, Sedat Onal , amesema Ankara inaunga mkono umoja, uhuru na mipaka ya Sudan, akisisitiza kuwa suluhu ya vita ni kupitia mazungumzo na diplomasia . Onal aliongeza kuwa lengo la Uturuki ni kupunguza mateso...
Hatua hiyo ilikubaliwa baada ya mkutano wa Tinubu na viongozi wa Marekani Roma. Jeshi la Marekani limethibitisha kutuma kikosi kidogo cha maafisa wa kijeshi nchini Nigeria , kwa mujibu wa kauli ya Kamanda wa AFRICOM, Jenerali Dagvin R.M. Anderson . Hatua hiyo imefuatia mkutano kati ya Rais wa Nig...
Türkiye seeks to alleviate the suffering of the Sudanese people and support Sudanese authorities in addressing urgent humanitarian needs. Türkiye’s ambassador to the US reaffirmed Ankara’s strong support for Sudan’s unity, sovereignty, and territorial integrity on Tuesday, backing regional and in...
Ufaransa inadaiwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi Burkina Faso. Idara ya Ujasusi ya Urusi ( SVR ) imetoa tuhuma nzito dhidi ya Ufaransa, ikisema Rais Emmanuel Macron ameidhinisha oparesheni za kijasusi zinazolenga kuwaondoa au kuwaua viongozi wa Afrika wanaoonekana “wasiotakiwa” na Paris. Kw...
Abiy Ahmed asema Ethiopia haikupokea msaada wa kifedha wa kigeni kwa GERD. Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed , amekanusha madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba bwawa kubwa jipya la nchi hiyo, Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) , lilifadhiliwa na Marekani. Akizungumza bungeni Jumanne...
Taarifa za kifo chake zimetolewa na vyanzo vya familia na vyombo vya habari vya ndani. Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa aliyekuwa rais wa Libya Muammar Gaddafi , ameripotiwa kuuawa Jumanne kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na familia yake na wakili wake Khaled el-Zaydi. Vyombo vya habari vya Libya p...
Aeleza kuwa adhabu imeongeza chuki badala ya suluhu. Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu ( FIFA ), Gianni Infantino , amesema shirikisho hilo linaweza kuiondolea Urusi adhabu ya kutoshiriki mashindano ya kimataifa. Infantino alieleza kuwa hatua hiyo ya kusimamishwa imekuwa ikipandik...
Le comédien Noah, qui a annoncé que cette année sera sa dernière en tant qu'animateur des Grammys après six passages à la présentation, a été plutôt discret sur les commentaires politiques au cours des années précédentes. Donald Trump a menacé lundi d'engager des poursuites contre l'animateur de...
Erdogan set to visit Saudi Arabia on Tuesday and Egypt on Wednesday, Turkish Head of Communications says. Türkiye's President Recep Tayyip Erdogan will visit Saudi Arabia on Tuesday and Egypt on Wednesday, the communications chief said Monday. Erdogan will meet with Saudi Crown Prince Mohammed bi...
An Hallaka Abu Khalid Tare da ’Yan Ta’adda 10 a Farmakin Dare Sojojin Rundunar Haɗin Gwiwa ta Arewa maso Gabas ƙarƙashin Operation Hadin Kai sun kashe wani babban jagoran Boko Haram/ISWAP mai suna Abu Khalid a wani farmaki da aka kai da dare a Jihar Borno. TRT Hausa Abu Khalid, wanda shi ne matai...
Tyla is the first aritist to win the Best African Music Performance prize twice South Africa's global superstar Tyla has beaten top Nigerian stars to solidify her status as a generational talent, etching her name into the record books by winning the Grammy for Best African Music Performance for a...
US President Trump announces "trade deal" with India, saying PM Narendra Modi promised to stop buying Russian energy and may purchase it instead from Venezuela. US President Donald Trump has said that he plans to lower tariffs on goods from India to 18 percent, from 25 percent, after Indian Prime...