الرئيسية / أرشيف الأخبار
أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

Boko Haram: Mashambulizi ya angani Nigeria yawaua magaidi zaidi ya 15 katika msitu

Mashambulizi ya angani yamelenga eneo jipya la magaidi magharibi mwa Zuwa katika sehemu ya Sambisa, anasema msemaji wa Jeshi la Anga la Nigeria Jeshi la Anga la Nigeria (NAF) limewaua zaidi ya magaidi 15 wa Boko Haram huko Zuwa, Msitu wa Sambisa, Kaskazini mashariki mwa Nigeria, afisa mmoja alise...

NewstimeTR Haber Merkezi · · آخر تحديث 13‏/8‏/2026، 5:26:08 ص
Boko Haram: Mashambulizi ya angani Nigeria yawaua magaidi zaidi ya 15 katika msitu
لمحة سريعة

Mashambulizi ya angani yamelenga eneo jipya la magaidi magharibi mwa Zuwa katika sehemu ya Sambisa, anasema msemaji wa Jeshi la Anga la Nigeria Jeshi la Anga la Nigeria (NAF) limewaua zaidi ya magaidi 15 wa Boko Haram huko Zuwa, Msitu wa Sambisa, Kaskazini mashariki mwa Nigeria, afisa mmoja alise...

Mashambulizi ya angani yamelenga eneo jipya la magaidi magharibi mwa Zuwa katika sehemu ya Sambisa, anasema msemaji wa Jeshi la Anga la Nigeria Jeshi la Anga la Nigeria (NAF) limewaua zaidi ya magaidi 15 wa Boko Haram huko Zuwa, Msitu wa Sambisa, Kaskazini mashariki mwa Nigeria, afisa mmoja alisema Alhamisi. NAF imewaua magaidi wa Boko Haram zaidi ya 15 siku ya Jumatano kama sehemu ya Kikosi Kazi cha pamoja cha operesheni Hadin Kai cha Kaskazini Mashariki, kulingana na taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Anga, Ehimen Ejodame. Aliongeza kuwa mashambulizi ya anga yanadhihirisha uhakika wa NAF, katika mapambano dhidi ya ugaidi. “Septemba 3 2025, mpango wa uhakika ulipangwa na kutekelezwa kwa kushambulia eneo jipya la magaidi magharibi mwa Zuwa katika sehemu ya Sambisa.” ‘Maeneo muhimu yameharibiwa’