Gida / Taskar labarai
Taskar labarai

Wannan sashe yana nuna tsoffin labarai da ranakun da aka wallafa su. An nuna labarin a harshensa na asali.

AU: Shambulizi la M23 kwenye uwanja wa ndege ni ‘tukio la kigaidi’

Tume ya Umoja wa Afrika imeliita shambulio la hivi karibuni katika uwanja mmoja wa ndege nchini DRC , kama “tukio la kigaidi”. Kikundi cha waasi cha M23, kimesema kilihusika la shambulio hilo lililotokea mwishoni mwa juma, katika uwanja wa ndege wa Kisangani. Kulingana na tume hiyo, shambulio hil...

NewstimeTR Haber Merkezi · · An sabunta 2026-08-13, 05:26:08
AU: Shambulizi la M23 kwenye uwanja wa ndege ni ‘tukio la kigaidi’
A taƙaice

Tume ya Umoja wa Afrika imeliita shambulio la hivi karibuni katika uwanja mmoja wa ndege nchini DRC , kama “tukio la kigaidi”. Kikundi cha waasi cha M23, kimesema kilihusika la shambulio hilo lililotokea mwishoni mwa juma, katika uwanja wa ndege wa Kisangani. Kulingana na tume hiyo, shambulio hil...

Tume ya Umoja wa Afrika imeliita shambulio la hivi karibuni katika uwanja mmoja wa ndege nchini DRC , kama “tukio la kigaidi”. Kikundi cha waasi cha M23, kimesema kilihusika la shambulio hilo lililotokea mwishoni mwa juma, katika uwanja wa ndege wa Kisangani. Kulingana na tume hiyo, shambulio hilo lilihatarisha usalama wa raia na ni ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa za haki za kibinadamu. "Shambulio hilo ni sawa na kitendo cha kigaidi,” ilisema tume kupitia ukarasa wa X. Kikundi hicho kimedai kuharibu ndege iliyokuwepo uwanja ni hapo. Mwanzoni mwa wiki hii, Umoja wa Mataifa ulisema kuwa utatuma ujumbe maalumu nchini DRC kusaidia mchakato wa usitishwaji mapigano katika eneo la Mashariki mwa DRC.