أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Jeshi la Somalia laua magaidi 47 wa al-Shabaab
أرشيف الأخبار

Jeshi la Somalia laua magaidi 47 wa al-Shabaab

Shambulizi hiolo linakuja siku moja baada ya magaidi hao kudhibiti mji Adan Yabaal, ulioko kilomita 245 kutoka mji mkuu wa Mogadishu. Jeshi la Somalia limeua magaidi wapatao 47 wa kikundi cha al-Shabaab katika mashambulizi tofauti, likiwemo moja lililotokea katika jimbo la kati la Shabelle. Katik...