أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Rais Ruto kuongoza kongamano la biashara nchini China
أرشيف الأخبار

Rais Ruto kuongoza kongamano la biashara nchini China

Ni katika ziara yake ya kiserikali ya siku nne nchini humo, ambapo mbali na hiyo, pia atajadiliana masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa na mwenyeji wake Xi Jinping. Taarifa rasmi ya Serikali ya Kenya inasema, kiongozi huyo kutoka Afrika Mashariki atafanya mazungumzo na mwenzake wa China Xi...