أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Gwiji wa Arsenal na Nigeria: Nwankwo Kanu
أرشيف الأخبار

Gwiji wa Arsenal na Nigeria: Nwankwo Kanu

Akiwa Arsenal, hakusifika tu kwa upachikaji wake wa mabao, bali alitambulika kama mchezaji mwenye mguu mkubwa zaidi, akivaa kiatu saizi 15. Anaitwa Nnwanko Kanu, ‘ngongoti’ kutoka mji wa Oweri nchini Nigeria, aliyekuwa sehemu ya kikosi cha ‘Invicibles cha mzee Arsene Wenger, pale Arsenal. Akiwa a...

Istanbul's Ayasofya Grand Mosque marks fifth anniversary
أرشيف الأخبار

Istanbul's Ayasofya Grand Mosque marks fifth anniversary

In July 2020, Friday prayers in the Ayasofya Grand Mosque marked the first Muslim prayer there in 86 years. The historical Ayasofya [ Hagia Sophia] Grand Mosque celebrates its fifth anniversary after the landmark decision to change its status from a museum to a mosque in July 2020. Turkish Presid...

Biya atangaza uchaguzi wa urais Cameroon kufanyika Oktoba
أرشيف الأخبار

Biya atangaza uchaguzi wa urais Cameroon kufanyika Oktoba

Rais Paul Biya, kiongozi wa nchi mwenye umri mkubwa zaidi duniani akiwa na miaka 92, hajasema kama ana nia ya kugombea kwa muhula mwingine. Cameroon itafanya uchaguzi wake wa urais tarehe 12 Oktoba, amri iliyosainiwa na Rais wa taifa hilo la Afrika ya Kati Paul Biya ilionesha siku ya Ijumaa. Ucha...