أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Upinzani Kenya yatishia kumrudisha Rais Ruto ICC
أرشيف الأخبار

Upinzani Kenya yatishia kumrudisha Rais Ruto ICC

Vitisho vya upinzani kumrudisha Rais Ruto katika Mahakama ya Kimatifa ya Uhalifu vinakuja baada ya rais huyo kutoa amri kwa polisi kuwapiga risasi watu wenye kuvunja sheria wakati wa maandamano. Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya David Maraga amemuonya Rais William Ruto kwamba Mahakama ya Kimataifa ya...