أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

CCM yaahirisha vikao vya kitaifa bila kutangaza tarehe mpya
أرشيف الأخبار

CCM yaahirisha vikao vya kitaifa bila kutangaza tarehe mpya

Katika barua iliyosambazwa mitandaoni, katibu wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Chama alielezea kwa ufupi tu kuwa ni kutokana na sababu za kiufundi. Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania kimetangaza kuahirisha vikao vyake vya kitaifa kutokana na kile kimetaja kuwa 'sababu za kiufundi'. Vikao hi...