أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Ethiopia yapanda miti milioni 700 kwa siku moja
أرشيف الأخبار

Ethiopia yapanda miti milioni 700 kwa siku moja

Ethiopia imesema kuwa imepanda miche ya miti milioni 700 kwa siku moja kama sehemu ya mpango wake wa kitaifa wa upandaji miti. Ethiopia imesema Alhamisi kwamba ilipanda miche ya miti milioni 700 kwa siku moja kama sehemu ya mpango wake wa kitaifa wa upandaji miti, ambao ni Mpango wa Urithi wa Kij...