أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Kenya yaomba msaada zaidi kwa ujumbe wa amani Haiti
أرشيف الأخبار

Kenya yaomba msaada zaidi kwa ujumbe wa amani Haiti

Rais wa Kenya William Ruto amesema kikosi ambacho kimekuwa kwenye majukumu hayo kwa miezi 15 - kinachojulikana kama ujumbe wa Multinational Security Support - kimekuwa kikifanya kazi kwa asilimia 40 pekee ya uwezo wa walinda usalama 2,500. Marekani ilitaka kuungwa mkono katika Umoja wa Mataifa si...

EU yaongeza muda wa vikwazo vya Sudan hadi 2026
أرشيف الأخبار

EU yaongeza muda wa vikwazo vya Sudan hadi 2026

Umoja wa Ulaya umeongeza kwa mwaka mmoja utawala wake wa vikwazo dhidi ya wale unaosema "wanahusika na kuyumbisha Sudan na kuzuia mabadiliko ya kisiasa ya nchi hiyo." Umoja wa Ulaya (EU) siku ya Jumatatu uliongeza kwa mwaka mmoja zaidi mpango wake wa vikwazo dhidi ya wale inaosema wanahusika na "...

Sudan Kusini: Kesi ya aliyekuwa makamu wa rais, Machar yaanza
أرشيف الأخبار

Sudan Kusini: Kesi ya aliyekuwa makamu wa rais, Machar yaanza

Chama cha Machar cha SPLM-IO kimekataa mashtaka dhidi yake na wengine 20 ambayo ni pamoja na mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya ubinadamu kwa madai ya kuhusika katika uvamizi wa wanamgambo wa Jeshi la White Army. Kesi ya uhaini inayomkabili aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek...