أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Algeria yafuzu kwa Kombe la Dunia 2026
أرشيف الأخبار

Algeria yafuzu kwa Kombe la Dunia 2026

Algeria imefuzu kwa Kombe la Dunia siku ya Alhamisi, ikiwa ni timu ya nne kutoka Afrika kupata nafasi hiyo kwa mashindano yatakayofanyika Marekani Kaskazini mwakani, baada ya kuwafunga Somalia 3-0. Algeria imefuzu kwa Kombe la Dunia siku ya Alhamisi, ikiwa ni timu ya nne kujikatia tiketi kwa mash...