أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Venezuela yaiwekea soko huria sekta yake ya mafuta
أرشيف الأخبار

Venezuela yaiwekea soko huria sekta yake ya mafuta

Hatua hiyo, inakuja takribani wiki tatu, tangu Marekani imuondoe madarakani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, ambaye mtangulizi wake Hugo Chavez alilazimisha utaifishwaji wa makampuni ya nje ya mafuta katikati ya miaka 2000. Wabunge wa Venezuela wameanza mkakati wa kuisogezea sekta bin...