أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Uturuki yasimama na umoja wa Sudan
أرشيف الأخبار

Uturuki yasimama na umoja wa Sudan

Uturuki imetoa msaada wa hema 30,000 na misaada ya chakula. Balozi wa Uturuki nchini Marekani, Sedat Onal , amesema Ankara inaunga mkono umoja, uhuru na mipaka ya Sudan, akisisitiza kuwa suluhu ya vita ni kupitia mazungumzo na diplomasia . Onal aliongeza kuwa lengo la Uturuki ni kupunguza mateso...

Marekani yatuma maafisa wa kijeshi Nigeria
أرشيف الأخبار

Marekani yatuma maafisa wa kijeshi Nigeria

Hatua hiyo ilikubaliwa baada ya mkutano wa Tinubu na viongozi wa Marekani Roma. Jeshi la Marekani limethibitisha kutuma kikosi kidogo cha maafisa wa kijeshi nchini Nigeria , kwa mujibu wa kauli ya Kamanda wa AFRICOM, Jenerali Dagvin R.M. Anderson . Hatua hiyo imefuatia mkutano kati ya Rais wa Nig...

Türkiye pledges more support for Sudan
أرشيف الأخبار

Türkiye pledges more support for Sudan

Türkiye seeks to alleviate the suffering of the Sudanese people and support Sudanese authorities in addressing urgent humanitarian needs. Türkiye’s ambassador to the US reaffirmed Ankara’s strong support for Sudan’s unity, sovereignty, and territorial integrity on Tuesday, backing regional and in...

Saif al-Islam Gaddafi ameripotiwa kuuawa Libya
أرشيف الأخبار

Saif al-Islam Gaddafi ameripotiwa kuuawa Libya

Taarifa za kifo chake zimetolewa na vyanzo vya familia na vyombo vya habari vya ndani. Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa aliyekuwa rais wa Libya Muammar Gaddafi , ameripotiwa kuuawa Jumanne kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na familia yake na wakili wake Khaled el-Zaydi. Vyombo vya habari vya Libya p...

FIFA yafikiria kuondoa adhabu ya Urusi, Ukraine yapinga
أرشيف الأخبار

FIFA yafikiria kuondoa adhabu ya Urusi, Ukraine yapinga

Aeleza kuwa adhabu imeongeza chuki badala ya suluhu. Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu ( FIFA ), Gianni Infantino , amesema shirikisho hilo linaweza kuiondolea Urusi adhabu ya kutoshiriki mashindano ya kimataifa. Infantino alieleza kuwa hatua hiyo ya kusimamishwa imekuwa ikipandik...

Sojoji Sun Kashe Babban Jagoran Boko Haram a Sambisa
أرشيف الأخبار

Sojoji Sun Kashe Babban Jagoran Boko Haram a Sambisa

An Hallaka Abu Khalid Tare da ’Yan Ta’adda 10 a Farmakin Dare Sojojin Rundunar Haɗin Gwiwa ta Arewa maso Gabas ƙarƙashin Operation Hadin Kai sun kashe wani babban jagoran Boko Haram/ISWAP mai suna Abu Khalid a wani farmaki da aka kai da dare a Jihar Borno. TRT Hausa Abu Khalid, wanda shi ne matai...