أرشيف الأخبار

يعرض هذا القسم الأخبار المؤرشفة مع تواريخ نشرها الأصلية. يُعرض المقال بلغته الأصلية.

31,085 نتائج

Rais Putin wa Urusi ampongeza Rais Museveni wa Uganda
أرشيف الأخبار

Rais Putin wa Urusi ampongeza Rais Museveni wa Uganda

Rais Yoweri Museveni alipata asilimia 71.6 ya kura katika uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 15 Januari, na hivyo kushinda muhula wa saba madarakani. Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amempongeza Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa kushinda muhula wa saba. Ushindi huo unaendeleza utawala wa Museven...