Accueil / Archives
Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

Air Tanzania mbioni kuanza safari za Dar es Salaam-Lagos

Hii ni baada ya shirika hilo kupata kibali cha safari hizo kutoka serikali ya Nigeria. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) liko mbioni kuanza safari za Dar es Salaam hadi Lagos kufuatia kupewa kwa kibali maalumu kutoka serikali ya Nigeria. Kulingana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya anga ya Ni...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Mis à jour 13/08/2026 05:26:07
Air Tanzania mbioni kuanza safari za Dar es Salaam-Lagos
En bref

Hii ni baada ya shirika hilo kupata kibali cha safari hizo kutoka serikali ya Nigeria. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) liko mbioni kuanza safari za Dar es Salaam hadi Lagos kufuatia kupewa kwa kibali maalumu kutoka serikali ya Nigeria. Kulingana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya anga ya Ni...

Hii ni baada ya shirika hilo kupata kibali cha safari hizo kutoka serikali ya Nigeria. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) liko mbioni kuanza safari za Dar es Salaam hadi Lagos kufuatia kupewa kwa kibali maalumu kutoka serikali ya Nigeria. Kulingana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya anga ya Nigeria, Ibrahim Abubakar Kana, kibali cha kuiruhusu Air Tanzania kutua nchini humo. Kibali hicho kitarahisisha ufanisi, kuboresha usalama na kuongeza ushirikiano wa safari za anga kati ya Tanzania na Nigeria.