Mchezo wa ngao ya jamii huashiria kufunguliwa kwa msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026, ambao uko chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF). Refa maarufu nchini Tanzania Ahmed Arajiga, atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC na Simba Sports Club, utakaofanyika Septemba 16, 2025 jijini Dar es Salaam. Mwamuzi huyo atakuwa akisaidiwa na Mohammed Mkono, Kassim Mpanga na Ramadhan Kayoko, kwenye mechi hiyo maarufu kama ‘Derby ya Kariakoo’, itakayopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Taskar labarai
Wannan sashe yana nuna tsoffin labarai da ranakun da aka wallafa su. An nuna labarin a harshensa na asali.
Ahmed Arajiga kusimama katikati ya dimba kwenye ‘Derby ya Kariakoo’
Mchezo wa ngao ya jamii huashiria kufunguliwa kwa msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026, ambao uko chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF). Refa maarufu nchini Tanzania Ahmed Arajiga, atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC na Simba Sports Club, utakaof...
A taƙaice