ACT-Wazalendo: kuteketeza nyaraka ni uhujumu wa ushahidi. Chama cha ACT-Wazalendo kimepinga vikali uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ( ZEC ) wa kuchoma nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Katika taarifa yake ya Februari 4, 2026, chama hicho kimesema kuwa kucheleweshwa kwa maombi yake ya Mahakama kuwasilisha nyaraka hizo ni mkakati wa makusudi wa kuzuia haki na kutoa nafasi kwa ZEC kuharibu ushahidi. ACT-Wazalendo kimesisitiza kuwa ni kosa la jinai kuharibu nyaraka wakati kesi za kisheria bado zinaendelea, na kwamba kitendo hicho ni dharau kwa Mahakama. Kwa upande wake, ZEC imesema zoezi hilo limeidhinishwa Februari 3, 2026 kwa mujibu wa kifungu cha 98(3) cha Sheria ya Uchaguzi namba 4 ya mwaka 2018 , kinachoelekeza nyaraka zote za uchaguzi kuteketezwa baada ya siku 90 tangu kumalizika kwa uchaguzi. CHANZO: Newstimehub ACT Tanzania ZEC
Arquivo de notícias
Esta secção apresenta notícias arquivadas com as datas de publicação originais. O artigo é apresentado no idioma original.
ACT-Wazalendo yalaani hatua ya ZEC kuteketeza nyaraka za uchaguzi
ACT-Wazalendo: kuteketeza nyaraka ni uhujumu wa ushahidi. Chama cha ACT-Wazalendo kimepinga vikali uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ( ZEC ) wa kuchoma nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Katika taarifa yake ya Februari 4, 2026, chama hicho kimesema kuwa kucheleweshwa kwa maombi yake ya...
Em resumo