Inicio / Archivo de noticias
Archivo de noticias

Esta sección muestra noticias archivadas con sus fechas de publicación originales. El artículo se muestra en su idioma original.

13 wafa baada ya mgodi kuporomoka Sudan

Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaji mkubwa wa dhahabu. Watu 13 na wengine sita wamejeruhiwa baada ya mgodi mmoj...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Actualizado 13/8/2026, 5:26:24
13 wafa baada ya mgodi kuporomoka Sudan
De un vistazo

Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaji mkubwa wa dhahabu. Watu 13 na wengine sita wamejeruhiwa baada ya mgodi mmoj...

Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaji mkubwa wa dhahabu. Watu 13 na wengine sita wamejeruhiwa baada ya mgodi mmoja kuporomoka kusini mwa Sudan. Tukio hilo, lilitokea ijumaa iliyopita katika migodi ya Umm Fakroun kusini mwa Jimbo la Kusini mwa Kordofan, kulingana na Shirika la Madini la Sudan (SMRC). “Mitambo ya migodi hiyo ilikuwa imetekelezwa, licha ya kuwepo wachimba madini ndani yake,” ilisomeka sehemu ya taarifa yake. Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo, vimevuruga uchumi wa nchi hiyo, licha ya SMRC kutangaza ongezeko la uzalishaji wa tani 70 za madini mwaka 2025. Hata hivyo, maofisa nchini humo wamelalamikia utoroshwaji wa madini nje ya mipaka ya nchi hiyo, ikiwemo Chad, Sudan Kusini na Misri, kabla ya kufika Umoja wa Falme za Nchi ya Kiarabu, ambayo ni nchi ya pili kwa uzalishaji mkubwa wa dhahabu.