Accueil / Archives
Archives

Cette rubrique présente les archives avec leurs dates de publication originales. L’article est affiché dans sa langue d’origine.

11 wauawa katika shambulio la kujitoa mhanga Somalia

Takriban watu 11 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua nje ya kambi ya kijeshi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu siku ya Jumapili. Takriban watu 11 waliuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua nje ya kambi y...

NewstimeTR Haber Merkezi · · Mis à jour 13/08/2026 05:26:24
11 wauawa katika shambulio la kujitoa mhanga Somalia
En bref

Takriban watu 11 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua nje ya kambi ya kijeshi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu siku ya Jumapili. Takriban watu 11 waliuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua nje ya kambi y...

Takriban watu 11 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua nje ya kambi ya kijeshi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu siku ya Jumapili. Takriban watu 11 waliuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya mshambuliaji wa kujitoa muhanga kujilipua nje ya kambi ya kijeshi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu siku ya Jumapili, afisa mmoja alisema. Mashambulizi hayo katika kambi ya jeshi la Somalia ya Damaanyo katika wilaya ya Hodan yalilenga wanajeshi waliokuwa wamejipanga nje ya jengo hilo. Afisa wa usalama katika wilaya ya karibu ya Warta Nabada, ambaye hakutaka jina lake litajwe, aliiambia Anadolu kwamba raia wawili na wanajeshi ni miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo la bomu. Alisema waliojeruhiwa walihamishiwa hospitalini. Kundi la kigaidi lenye mafungamano na Al-Qaeda la al-Shabaab lilidai kuhusika na shambulio hilo. Al-Shabaab imekuwa ikipigana na serikali ya Somalia kwa zaidi ya miaka 16 na mara nyingi huwalenga maafisa wa serikali na wanajeshi.